Friday, December 17, 2010

UMEYA MWANZA HALI TETE

Kikao cha kumpata meya wa jiji la Mwanza leo kimevunjika baada ya kutokea mvutano mkali baina ya madiwani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ukumbini,.

        Mandhari ya jiji la Mwanza kama linavyoonekana

No comments:

Post a Comment