Friday, December 17, 2010

KUJUA SHERIA ZA KAZI YAKO NI POA SANA

Mhadhiri wa chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine Mr Masanja akitoa mafunzo leo mchana kwa wafanyakazi wa Victoria Fm ambao wamehudhuria mafunzo ya uandishi wa habari hasa za uchunguzi katika chuo hicho.Leo ndio wanahitimisha mafunzo hayo ambayo yalianza Dec 13 mpaka Dec 17 mwaka 2010

No comments:

Post a Comment