Thursday, December 16, 2010

MAZINGIRA MAZURI YATATOA ELIMU NZURI

 Hili ni eneo la chuo kikuu cha St Augustine jijini Mwanza ambapo wafanyakazi wa Victoria Fm tupo tukichukua mafunzo katika kuboresha kazi na kampuni yetu( JAMANI INAVUTIA)
 Anaitwa Mr Shao amekuwa nasi katika masomo yanayohusiana na utatuzi wa migogoro katika jamii
 Kusoma ni jambo jema hasa kama una nia ya dhati kusaidia jamii yako ambayo umeona inafanya mambo yasiyopendeza katika dunia ya leo,Serfoza,Meneja wetu Katute na Binda wakiwa makini katika mafunzo hayo
 Mariam,Sabina na Emanuel Chibasa wakiwa makini katika mafunzo ndani ya chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine jijini Mwanza
                                       Dozi inaendelea
 Katik chuo kikuu cha mtakatifu Augustine watu ni wengi hivyo unaweza kusoma hapo usiweze kumtambua mwenzako kama si mtu wako wa karibu
  Vijana wakipanda ghorofani katika kusomo masomo yanayohusiana na mambo ya ushawishi katika jamii
                                                   Jamani na mimi nimo
    Mlango kama msosi wako haueleweki kuufungua itakuwa ngumu
 Mwalimu katika somo la ushawishi (Bhoke) akitoa ufafanuzi leo mchana katika somo hilo upande wa matangazo
                                    Umakini ndio jambo la msingi vijana
    Si umakini tu pia na kuelewa ili elimu uliyoipata iwe msaada kwa wenzako
                                            Vichwa vinazidi kupikwa
      Kama kawaida vijana wako makini na naamini mwaka 2011 utakuwa wa mabadiliko katika tasnia ya habari ndani ya Victoria Fm
                                              UMAKINI ZAIDI
                     Umakini unatakiwa katika jambo huska
                                             Baada ya dozi tunatoka sasa
                         Jamani tuko pamoja na Meneja wetu JM Katute
 Nilifurahi sana kukutana na vichwa hivi ambavyo viliwahi kufanya mazoezi ya vitendo katika redio yetu,vijana wanachukua digrii ya mahusiano ya umma.kazeni mwendoi vijana jamii inawategemea
             Happy hataki mchezo yaani umakini kwake A                Hii ndio siri ya jiji la mwanza kuwa safi kila mwakaWakati natoka chuoni nikiwa katika gari ya Sefroza tulikutana na huyu mwendesha pikipiki akiwa amebeba abiria lakini hana kofia sasa hii ni hatari sana katika maisha yake .

No comments:

Post a Comment