Thursday, December 16, 2010

MASOMO NDANI YA St AUGUSTINE JANA YALIENDELEA POA WADAU

 Pamoja na masomo kuwa magumu lakini furaha ilikuwa inapatikana wakati wa msosi maana hapo hakuna kufikiri
 Vijana wanasoma St Augustine jijini  Mwanza,kutoka kulia anaitwa Kelvin ambaye pia ni mtengenezaji wa blog ya Mwana wa Afrika anachukua digrii ya mahusiano
                   Huu ndio muda muafaka wa Breakfast mdau
Kijana anaitwa Richard Ndariro nimemuacha Royal College of Tanzania akichukua Diploma ya habari wakati huo mie tayari nina yangu mkononi na jana nimekutana nae jijini Mwanza akiwa amemaliza masomo yake.Hongera sana kijana karibu kwenye game

No comments:

Post a Comment