Friday, December 17, 2010

HAIKUWA KAZI NDOGO KUPATA CHETI HIKI

 Hatua hii inaonyesha kwamba nimeiva katika suala zima la mambo ya kihabari ingawa mwaka 2008 nilimaliza Diploma yangu ya habari Royal College of Tanzania lakini kwa mafunzo haya nimepata vipya
 Shomary Binda kama kawaida akitunukiwa cheti chake baada ya mafunzo ya habari za kiuchunguzi katika chuo kikuu cha habari St Augustine jijini Mwanza leo jioni
 Hii inaonyesha kuwa bado safari ya elimu hii ya habari ndio inaanza Emanuel Chibasa akitunukiwa cheti chake baada ya kumaliza mafunzo ya habari za kiuchunguzi leo jioni St Augustine University
 Safari ndio inaanza Happy Mohamed nae akifurahia baada ya kutunukiwa cheti chake leo jioni St Augustine University jijini Mwanza
 Meneja wetu John Katute hakuwa nyuma katika kupata cheti hicho nae alikula kitabu kama kawaida akapata vigezo vya kutunukiwa cheti
 Cares one mzee wa mwaka wa tatu akitunukiwa cheti leo jioni  katika chuo kikuu cha St Augustine
 Sefroza akipokea cheti chake baada ya kumaliza mafunzo yanayohusiana tasnia ya habari katika chuo kikuu cha mtakatifu Augustine jijini Mwanza
John Mponeja akipokea cheti chake kutoka kwa mkuu wa idara ya mawasiliano ya umma(Mass Communication)  katika chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine jijini Mwanza
           Mariam Mgabo naye alikuwa miongoni mwao
  Sabrina akifurahia wakati anapokea cheti chake baada ya mafunzo
Sauti yake tamu sana anapokuwa hewani na pia anaonekana kama binti mdogo hivyo basi elimu kwakwe jambo la muhimu anaitwa Sefroza Joseph a.k.a Self wa ukweli
Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa Victoria Fm waliokuwa mafunzo ya mambo ya habari St Augustine jijini Mwanza na wakufunzi wa chuo hicho

 Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa Victoria Fm waliokuwa mafunzo ya mambo ya habari St Augustine jijini Mwanza na wakufunzi wa chuo hicho

No comments:

Post a Comment