Saturday, December 18, 2010

DUU' KIJANA ANAWEZA KUINGIA TOP TEN

 Mwana wa Afrika akijaribu kuweka mwili sawa baada ya masomo kuwa magumu,misosi kama hii inaweka akili inakuwa sawa na naamini mamabo kama haya yawekwe katika mashule yetu kwanza hakutakuwa na utoro na pia wanafunzi watapata afya ya mwili na akili, AU VP MDAU?

No comments:

Post a Comment