Friday, December 17, 2010

BAADA YA KUMALIZA MAFUNZO TULIPUMZIKA WADAU

Nilikutana na kijana anaitwa Lucas anasoma masomo ya mahusianao ya  umma katika ngazi ya digrii ndani ya St Augustine University

 Shomar Binda akibadilisha mawazo na Meneja wake,nadhani wanaulizana kuhusu hizi simu za kichina

     Mwana wa Afrika na Lucas  ndani ya St Augustine University jijini Mwanza

No comments:

Post a Comment