Friday, October 29, 2010

WATANZANIA MUDA WA KUTAFAKARI NDIO HUU

Kama tutaamua kwa pamoja najua tutafanya mambo sahihi kwani naamini Tanzania hii ni yetu sote,piga kura unapoamini kuwa kuna mabadiliko ya kweli achana na propaganda za wanasiasa ambao wanataka kujinufaisha kupitia wapiga kura.


                    OCTOBER 31,2010,UCHAGUZI MKUU

              MUDA UMEFIKA WATANZANIA AMUENI SASA

No comments:

Post a Comment