Hapa nashangilia baada ya kuifunga Mara sekondary mwaka 2002
Hii ni timu ya J.K Boys ya mkoani hapa na hapo ilikuwa mwaka 2003
Wadau hizi ni picha zangu kipindi napiga kabumbu katika timu mbalimbali hapa mkoani Mara,naamini nilikuwa na kipaji cha ukweli ingwa uongozi wa soka ndio chanzo cha kupoteza vipaji kama hivi
No comments:
Post a Comment