RAIS KIKWETE AREJEA NYUMBANI BAADA YA MKUTANO WA VIONGOZI WA MAZIWA MAKUU HUKO UGANDA.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mwenyekiti
wa Mkutano wa wakuu wa nchi za Maziwa Makuu,Rais Yower Kaguta Museveni
wa Uganda mwishoni mwa mkutano huo uliomalizika leo jijini Kampala
Uganda.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini maazimio ya
wakuu wa nchi za Maziwa Makuu mwishoni mwa mkutano huo uliofanyika
katika Hoteli ya Speke’s Bay Resort,Munyonyo, KaMPALA, Uganda.
Waziri wa Mambo ya nje Bernard Membe na Meya wa Jiji la Dar
es Salaam Dkt.Didas Masaburi wakimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea jijini Kampala Uganda ambapo
alihudhuria mkutano wa wakuu wan chi za Maziwa Makuu(picha na Freddy
Maro).
Source na blog ya Ikulu
No comments:
Post a Comment