CCM MARA MAMBO YAANZA KUNOGA
Ni
kijana wa chama Cha Mapinduzi anaitwa Elias Kerenge amechukua fomu ya
kugombea nafasi ya mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa
Mara.
Moja ya mikakati yake ni kuhakikisha pale
atakapovhaguliwa na Mkutano MKUU WA uchaguzi wa Umoja huo anavitumia
vitega uchumi vya umoja huo yakiwemo majengo pamoja na miradi mbalimbali
kuhakikisha kuna kuwa na Saccos ya vijana katika kuinuana kiuchumi na
kuacha kuwa tegemezi.
No comments:
Post a Comment