kutoka kushoto ni George Marato wa ITV na Mabere Makubi wa Channel Ten
Hawa ni waandishi wa habari waandamizi mkoani Mara ambao mchango wao wa habari katika jamii ni msaada mkubwa kwa jamii ya mkoa huo ambao kuna matatizo mengi hasa katika suala zima la kimaendeleo.
No comments:
Post a Comment