Sunday, August 22, 2010

VICTORIA FM 90.6 MJINI MUSOMA

Hii ni studio ya Redio Victoria iliyopo mjini Musoma ambayo inarusha matangazo yake kupitia mawimbi ya 90.6 si mbaya sana kama wewe mdau ukatangaza biashara yako kupitia redio hii,kuna watangazaji mahiri ambao kamwe hawataharibu biashara yako karibu mdau.

No comments:

Post a Comment