Mgombea urais CCM Dk.Kikwete
Hayati baba wa Taifa mwalimu Nyerere
Mgombea urais Chadema Dk. Slaa
Leo watanzania tumeanza mchakato wa kumchagua rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Tanzania Visiwani,pamoja na mchakato huo je hawa wagombea wote wanajua matatizo ya watanzania waishio chini ya dola moja
Najua maneno mengi mazuri watatuele katika wakati huu wa kampeni lakini sijui kama ni kweli watayatekeleza kwa ukamilifu ili watanzania wawe na maisha bora kama yao.
Ufisadi kama wimbo wa Taifa leo kila kona lakini je ndugu zangu mnaelewa sifa za kiongozi anayefaa kuiongoza Tanzania yetu baada ya Baba wa Taifa kuondoka mwaka 1999? Tumeshuhudia chaguzi nyingi zimepita na viongozi wengi tumekuwa nao.
SIKILIZA-TAFAKARI –FANYA MAAMUZI SAHIHI
Mungu ibariki Tanzania
No comments:
Post a Comment