Baadhi
ya wanafunzi wa shule ya uuguzi mkoani Mara wakijiaanda kuanza
maandamano kutoka Hospitali Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mara wakati wa
sherehe za maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa
yamefanyika wilayani Musoma.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).
Baadhi
ya wanafunzi wa shule ya uuguzi wilayani Musoma wakiwa wamekusanyika
nje ya Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara kwa ajili ya maandamano ya
kuadhimisha Siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika mjini
Musoma kwenye viwanja vya Mkendo, mkoani Mara.
Pichani
juu na chini ni baadhi ya Wakunga kutoka mikoa mbalimbali ya nchini
wakijumuika na wenyeji wao kwenye maandamano ya maadhimisho hayo.
Baadhi
ya Wakunga wakijumuika na wakinama wa mjini Musoma njiani kuelekea
kwenye viwanja vya Mkendo wakati maandamano ya maadhimisho ya Siku ya
Wakunga duniani burudani ya matarumbeta yaliyokuwa yakishereheshe
maandamano hayo.
Wakunga wa kiume kutoka wilaya ya Serengeti wakiwa wamejumuika na wenyeji wao kwenye maandamano hayo.
Shangwe zikiendelea kuelekea viwanja vya Mkendo.
Kinababa nao hawakubaki nyuma waliwaunga mkono Wakunga kwenye maandamano hayo.
Mkazi
wa mjini Musoma mwenye ulemavu aliyejumuika kwenye maandamano hayo
akisukumwa na mmoja wa Wakunga kuelekea kwenye viwanja vya Mkendo
zinakofanyika sherehe za maadhimisho hayo.
Meneja
mwendeshaji wa mtandao wa habari wa modewjiblog, Zainul Mzige naye
alishiriki maandamano hayo kwenye maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani
ambapo kitaifa yamefanyika mjini Musoma mkoani Mara.
Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa
linaloshughulikia Idadi ya watu duniani (UNFPA) Tanzania, Sawiche
Wamunza (wa kwanza kulia) akishiriki kwenye maandamano hayo.
Mpiga
picha wa Clouds TV Ntibashima Edward akiwa amepanda juu ya gari aina ya
canter kwa ajili ya kuchukia matukio ya maandanamano hayo.
Meza
kuu ikiongozwa na mgeni rasmi Waziri Mkuu Mizengo Pinda (wa pili kulia)
wakipokea maandamano kwenye sherehe za maadhimisho ya siku ya Wakunga
Duniani ambayo kitaifa yamefanyika mjini Musoma, Mkoani Mara. Kutoka
kushoto ni Kaimu Muuguzi Mkuu wa Serikali, Dk. Ama Kasangala, Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya wakunga duniani, Frances
Ganges, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magese Mulongo, Kaimu Mkuu wa mkoa wa
Musoma, Stephen Zelote pamoja na Rais wa Chama cha Wakunga Tanzania
(TAMA), Bi. Feddy Mwanga.
Maandamano
kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani yakiwasili
kwenye viwanja vya Mkendo na kupokea na mgeni rasmi kwenye maadhimisho
hayo Waziri Mkuu Mizengo Pinda (hayupo pichani) yakitokea Hospitali ya
Rufaa ya Mkoa wa Mara ambapo kitaifa yamefanyika mjini Musoma.
KAWAIDA

Mtaalam
wa Mahusiano na Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa

No comments:
Post a Comment