Waombolezaji wakiwa na nyuso za Majonzi
Hakika nyuso hazina furaha
Kutoka kushoto Augustine Mgendi wa Chn 10,George Marato wa ITV na Florence Focus wa Mwananchi.
Mwenyekiti wa Bakwata Musoma mjini akiwa na Askofu Msonganzila wa Kanisa Katoliki
Rais wa klabu za Waandishi wa habari Tanzania Keneth Simbeya akitoa salamu za rambirambi
Mtoto wa Marehemu Gabriel John Tupa akitoa shukran
Mjane wa baba wa Taifa Mwalimu Nyerere akiwa mmoja wa waombolezaji
Askof Msonganzila akiweka sahihi kwenye kitabu cha waombolezaji
Wanafunzi wakiwa kwenye mstari kutoa heshima za mwisho
Mdau Shomari akitazama mwili wa Marehemu John G.Tuppa
Heshima ya mwisho
Mkw wa Marehemu wa pili kutoka kushoto akiwa kanisan
No comments:
Post a Comment