Friday, March 21, 2014

Picha: Waandishi wa habari wakongwe wakichangia mada Morogoro


IMG_3065
Bi. Rose Reuben ni mwandishi wa habari za uchunguzi kwa njia ya Televisheni na Redio kwa muda wa miaka 19 akiwa kwenye mafundisho ya semina ya waandishi wa habari za uchunguzi mjini Morogoro.
IMG_3032
Bw. Burhani Muhunzi ni mwandishi wa habari za uchunguzi kwa upande wa magazeti kwa miaka 40 akichangia mada kwenye semina hiyo.
IMG_3048
Bw. George Nyembele pia anafanya habari za uchunguzi wa masuala mbalimbali kwenye magazeti kwa muda wa miaka 34.

No comments:

Post a Comment