Thursday, November 28, 2013

KILIMANJARO STARS WAANZA KUTUPA KARATA YAO LEO NCHINI KENYA

Timu ya Taifa ya Tanzania Bara leo inaanza kutupa karata yake katika michuano ya CECAFA inayofanyika nchini Kenya kwa kupambana na timu ya Zambia ambao ni Timu mwalikwa.Kila kheri Kilimanjaro Stars

No comments:

Post a Comment