Friday, October 25, 2013

MADIWANI MEATU WASUSIA KIKAO

Baraza la Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Meatu mkoani Simiyu limegoma kuendelea na kikao kwa kile kinachodaiwa na Madiwani hao kutopewa makabrasha mapema kinyume na kanuni zinazoelekeza kuwa wanapaswa kupewa Makabrasha hayo siku saba kabla ya kikao.

No comments:

Post a Comment