Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa amepanda
kwenye kivuko cha MV Musoma kinachovusha watu kutoka Wilaya ya Rorya na
Musoma
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa katika
kivuko hicho pamoja na wananchi, kushoto aliyembeba mtoto ni Katibu Mkuu
wa UWT Taifa Amina Makilagi
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi wa CCM Nape Nnauye akiwa amesimama katika ukingo wa kivuko hicho pamoja na wananchi.
Msafara wa magari ukitoka kwenye kivuko cha MV Musoma mara baada ya kuwasili mjini Musoma leo ukitokea wilayani Rorya.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wa tatu kutoka kulia na Katibu
wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi wa CCM Nape Nnauye wa pili kulia
wakishuka kwenye kivuko cha MV Musoma mara baada ya msafara wake
kuwasili mjini Musoma leo
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi wa CCM Nape Nnauye wakiwapungia mkiono wananchi waliojitokeza kuwapokea mjini Musoma
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia vikundi mbalimbali vya sanaa mjini Musoma
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozwa na
Jailos Chilewa Mhandisi mkazi wa mradi mkubwa wa maji wa ziwa Victoria
uliopo Bukanga Makongo nje kidogo ya Manispaa ya Musoma wakati
alipokuwa akikagua ujenzi wa mradi huo leo.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiendelea na ukaguzi wa mradi huo.
Ukaguzi ukiendelea
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata
maelezo kutoka kwa mganga mkuu wa mkoa wa Mara Bw. Samson Winani wakati
akikagua mradi wa hospitali ya mkoa ya Rufaa Kwanga mjini Musoma, ujenzi
wa mradi huo unatarajiwa kuanza kuendelea hivi karibuni.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe
kuashiria uzinduzi wa ofisi ya CCM Kata ya Bweri mjini Musoma.
Hii ndiyo ofisi yenyewe.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea
zawadi jogoo kutoka kwamwenyekiti wa shina namba 6 mama ThabithaAmina
Idd mara baada ya kutembelea shina hilo na kuongea na wanachama.
Katibu
Mkuu wa Umoja wa wanawake UWT Mama Amina Makilagi akiwahutubia wana
Musoma leo kwenye mkutano wa hadhara katika viwanja vya Mukendo mjini
Musoma leo.
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi wa CCM Nape Nnauye akizungumza na wanaMusoma leo kwenye viwanja vya Mukendo.
Hawa ni miongozi mwa wananchi waliohudhuria katika mkutano huo leo.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wana Musoma leo.
No comments:
Post a Comment