Wednesday, June 5, 2013

TAZAMA STYLE ZA KUPIGANA BUSU HUKO NCHINI CHINA


Ama kweli duniani kuna mambo na visa haviishi kila siku binadamu anabuni wazo jipya pengine wazo linaweza kuwa lakijinga ila likawa kivutio kwa wengi.. wazo hili ni hili la kuanda mashindano ya kupigana mabusu katika style ya kipee..ilianzia china ikaenda mpaka thailand
wapenzi walioshinda walibusiana kwamuda wa masaa mawili na dakika  43.2 hours and 43 minutes 
shindano hili hufanyika kila mwaka katika sikukuu za wapendanao yani Valentine's Day


 kazimia huyu
sasa mwaka huu shindano hili likaletwa kwa style ya kipekee ambapo washiriki wote walitakiwa wavae nguo za harusini.No comments:

Post a Comment