Saturday, June 22, 2013

SPIKA WA ZAMANI SAMWEL SITTA AAGWA NA BUNGE

IMG_0080Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza  kabla ya kukabidhi zawadi zake pichani kwa Spika mstaafu. Samuel Sitta katika hafla ya kumuaga Spika  huyo kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 21, 2013.Kushoto kwake ni mkewe Tunu na  wengine kutoka kulia ni Mke wa Spika wa Zamani Margareth Sitta, Spika wa zamani Samuel Sitta na Spika wa Bunge Anne Makinda. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0006Waziri Mkuu na Spika wa Bunge pamoja na Mzee Samwel Sitta spika wa bunge aliyepita  IMG_0011 
 Spika wa bunge Anne Makinda akizungumza  katika hafla ya kumuaga Spika Mstaafu Samuel Sitta kwenye viwanja vya bunge Mjini  Dodoma juni 21, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0017Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na Mheshimiwa Dr. Maua Daftari  ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa Kamati ya  hafala ya kumuaga Spika wa zamani Samuel Sitta kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 21, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment