Saturday, June 22, 2013

Rais Kikwete ampongeza Askofu Mkude kutikiza miaka 25 ya Uaskofu

8E9U6106Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu Katoliki wakati wa maadhimisho ya Sherehe za Miaka 25(Silver jubilee) ya Uaskofu wa Askofu Telesphori  Mkude wa jimbo Katoliki Morogoro zilizofanyika katika Viwanja vya Seminary ya St.Peters mjini Morogoro leo(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment