Tuesday, June 4, 2013

Mwili wa Mangwea Wawasili Jione

 Mwili Ukipelekwa kuhifadhiwa Mochwari
Mwili ukipelekwa kuhifadhiwa muhimbili hospital
 MSAFARA WA WATU WANAOUSINDIKIZA MWILI


 Wengi wajitokeza kuusindikiza msafara
Gari lilobeba jeneza lenye mwili wa Marehemu likiwa limezungukwa na Watu wakiomba walisukumu hadi Mochwari

No comments:

Post a Comment