Mwana Wa  Afrika

Saturday, May 18, 2013

YANGA 2 SIMBA O

_MG_0384Mchezaji wa timu ya Yanga Didier Kavumbagu akikokota mpira mbele ya mchezaji wa timu ya Simba Abdallah Seseme katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom unaofanyika jioni hii kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam , hivi sasi ni kipindi cha pili na Yanga wanaongoza magoli 2 -0 dhidi ya Simba ambayo imekosa penati katika kipindi cha kwanza wakati mchezaji wake Mussa Mude akipiga vibaya mpira huo baada ya Mrisho Ngassa wa Simba kuangushwa kenye eneo la hatari _MG_0386Wachezaji wa timu ya Simba na Yanga wakiwania mpira wakati wa mchezo wao unaofanyika kwenye uwanja wa Taifa jioni hii. _MG_0398Baada ya golikipa wa Simba Juma K. Juma kuteswa hali ilikuwa hivi. _MG_0401Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya kupata goli la kwanza dhidi ya Simba.

 

Utani ulikuwepo pia
Yote kwa yote mechi iliishia Yanga 2, Simba 0

Zakutana Mara 101. Yanga yashinda Mara 38 na Simba mara 32 huku droo zikiwa 31

Posted by Augustine Mgendi at 7:44 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Contact

Contact

Like Us On Facebook

Flag Counter

Followers

Popular Posts

  • WEEKEND NJEMA WADAU WANGU
  • (no title)
    WAZIRI MKUU PINDA AONGOZA MAMIA YA WANA MUSOMA KUMUAGA MWALIMU ALIYEMFUNDISHA BABA WA TAIFA.MWALIMU JAMES IRENGE LEO           Wadau...
  • (no title)
    A SKARI POLISI MMOJA MKOANI KIGOMA AFARIKI KATIKA AJALI YA PIKIPIKI  Na Pardon Mbwate na Felister Chubwa wa Jeshi la Polisi Kigoma ...
  • MKAPA AFUNGA KAMPENI IGUNGA
  • (no title)
    MAITI NYINGINE ZAIDI ZA MV SKAGIT ZAIOBUKA Na Mwandishi wa Jeshi la Polisi Zanzibar Idadi ya maiti za ajali ya kuzama kwa Meli ya M...
  • ISSA KIJOTI NA WENZAKE WAZIKWA
    Muimbaji mahiri wa muziki wa Taarabu nchini Issa Kijoti mzee wa mchumu mchumu mwaaa akipelekwa kati,ka nyumba yake ya milele.Mungu awaweke m...
  • (no title)
                               JAMII YASHINDWA KUFUATA MISINGI YA HAKI ZA WATOTO IMESEMEKANA KUWA JAMII IMESHINDWA KUFUATA MISINGI  YA HAKI ZA ...
  • (no title)
    HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME YATAKIWA KUONGEZA VYANZO VYA MAPATO.   Na: Dinna Maningo, Tarime. HALMASHAURI ya Wilaya ya Tarime Mkoani ...
  • Prof Muhongo ahimiza kilimo cha Alzeti katika jimbo la Musoma vijijini
                   Mkulima wa zao la Alzeti akitazama zao hilo shambani                          Baadhi ya wakulima hao wakifanya Mahoj...
  • (no title)
                         Charles Taylor ata hukumiwa leo Majaji katika mahakama maalum kuhusu vit...

Soccer Live

Total Pageviews

Blog Archive

2013. designed by Mark Jay.. Simple theme. Powered by Blogger.