Friday, May 17, 2013

TAZAMA NYUMBU WANAVYOSAFIRI,RAHA SANA UKISAFIRI KUPITIA KATIKA HIFADHI ZETU ZA SERENGETI NA NGORONGORO

    Safari ni Safari hata kama ni kwa ngamia bora kufika
     Jamaa wapo katika Safari kuelekea Masai Mara
                      Safari ni Safari
                       kazi ni moja tu, kupanda na kuendelea na safari
         Mawasiliano ni muhimu

No comments:

Post a Comment