Sunday, May 5, 2013

WANAHABARI MARA WAOGOLEA KICHAPO CHA MAGOLI 4-0 KUTOKA TRA MARA

Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Waandishi wa habari mkoani Mara wakio na jiandaa kwa Mpambano na TRA

Mazoezi kabla ya Mchezo ni muhimu
                                      Utaipenda tu ukiona inakuuma meza sindano
  Manahodha wa timu zote 2 wakisalimiana
                 Kikosi cha TRA Mara
 Mchezo ukiendelea katika uwanja wa Musoma

No comments:

Post a Comment