Thursday, May 9, 2013

WAANDISHI WA HABARI WAPATIWA MAFUNZO JUU YA HAKI ZA BINADAMU..

waandishi wakifuatilia kwa makini mafunzo.

Balozi wa nchi za Ulaya(EU)nchini Tanzania Filberto Sebregond(kulia )akizungumza kwenye ufunguzi wa semina ya waandishi wa habari kutoka mikoa mbalimbali nchi inayohusu masuala ya haki za binadamu,Kwenye ukumbi wa  Wanyama Hotesl Jijini Dar Es Salaam.

Picha ua pamoja Kati ya Balozi wa nchi za Ulaya(EU)nchini Tanzania Filberto Sebregond na washiriki na waandaji wa wa mafunzo ya haki za binadamu

Rose Mwalongo ambaye ni afisa habari wa kituo cha sheria na haki za binadamu(LHRC)akisalimiana na Balozi wa nchi za Ulaya(EU)nchini Tanzania Filberto Sebregond


waandishi wakimfanyia mahojiano Balozi wa nchi za Ulaya(EU)nchini Tanzania Filberto Sebregond

No comments:

Post a Comment