Tv
Star Kim Kardashian na mpenzi wake rapper Kanye West kwenye jiji la
Paris wakifanya shopping kwa ajili ya Kim K ambae kwa sasa ni mjamzito.
Kanye
West hakuwa kwenye mood nzuri ambapo alimpiga mkwara Paparazzi mmoja
aliekua anataka kuuliza maswali, unaweza kutazama hiyo video hapo chini
kabisa.
.
.
.
.
.
.
.
No comments:
Post a Comment