Picha ya
marehemu Henry Koga baada ya kuchomwa kisu na kufariki hapo
hapo jana usiku katika chuo cha uhasibu Arusha.....
Mwanafunzi huyo Alikuwa Masomoni
Mida Ya Usiku Na Alipomaliza Aliondoka Na Kuelekea Maeneo Ya Esami.
Kabla Hajafika Eneo La Malazi (Hostel) alipigiwa Simu na Mwenzake amsubiri Ili Waende Wote Hostel.
Marehemu Henry katika enzi za uhai wake....
Marehemu Henry katika enzi za uhai wake....
Wakati anamsubiri Rafiki Yake Kwenda Hostel, Kuna Bajaj Ilifika Eneo
Hilo Na Watu Hao Wasiojulikana Wakataka Pesa Kutoka Kwa Mwanafunzi
Huyo...Wakati wakiendelea kuzozana, rafiki yake naye alifika.....
Mauaji hayo yamesababisha vurugu kubwa chuoni hapo zilizopelekea kupigwa mawe mkuu wa mkoa
No comments:
Post a Comment