|
Mtoto
ambae jina lake halikuweza kupatikana mara moja akiuza karanga na
bisi katika uzio wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa katika stendi
ya daladala ya Posta |
|
|
Serikali
imekuwa ikipiga marufuku wazazi kuwatumikisha watoto kama hawa
katika biashara ili kuwawezesha kupata elimu ila bado baadhi ya
wazazi wamekuwa wakiwatumikisha watoto kama ilivyo kwa mtoto huyu
,utaisoma makala maalum ya mtoto huyu hapa hivi karibuni ili kujua
maisha yake kwa ujumla |
|
Source Mzee wa Matukio Daima
No comments:
Post a Comment