Monday, April 29, 2013

GARETH BALE AFUATA NYAYO ZA RONALDO NA HENRY, ATWAA TUZO MBILI MWAKA MMOJA!!

Winga nyota wa watukutu wa London, Tottenham Hospurs, Gareth Bale ameonesha umahiri wake baada ya usiku wa jana kunyakua tuzo mbili yaani mchezaji bora wa mwaka katika tuzo ya PFA (chama cha soka England)  na mchezaji chipkizi wa mwaka.
 
Bale mwenye umri wa miaka 23 amekuwa miongoni mwa wachezaji watatu tu waliotwaa tuzo mbili kwa mwaka mmoja akifuata nyayo za Andy Gray mwaka 1776-77 na Cristiano Dos Santos Aveiro Ronaldo miaka sita iliyopita.

Pia nyota huyo aliyejiunga na Spurs msimu wa 2010-2011 ameungana na wengine waliowahi kutwaa tuzo hiyo akiwemo Alan Shearer, Thierry Henry na Ronaldo kama wachezaji pekee waliowahi kutwaa tuzo hizo kwa mwaka mmoja.
Double delight: Gareth Bale won both the Player of the Year and Young Player of the Year awards on SundayTuzo mbili:  Gareth Bale ameshinda tuzo zote yaani mchezaji bora wa mwaka na mchezaji bora chipkizi wa mwaka usiku wa jana.
Winners: Bale with Women's Player of the Year Kim Little and PFA Chairman Gordon TaylorWashindi: Bale akiwa na mchezaji bora wa kike wa mwakaw Kim Little na mwenyekiti wa PFA Gordon Taylor
Manchester United Class of 92Wageni waalikwa katika hafla ya kugawa tuzo hizo wakiwemo wachezaji mbambaliPeerless: Bale has scooped the coveted PFA Player of the Year gong for a second timeBale akishangilia moja kati ya magoli aliyofunga mechi za nyuma
High times: Bale's incredible athleticism has meant his goals have come in all manner of ways
High times: Bale's incredible athleticism has meant his goals have come in all manner of ways
Gareth Bale
PFA team of the year: Bale features in a team dominated by Manchester United players
Tuzo ya mwaka PFA: Bale alikuwa anapambana na watu wengi wa Manchester United
Bale baada ya kutwaa Tuzo hizo alisema ” Ni heshima kubwa kwangu, kupigiwa kura na wachezaji wenzangu ni kitendo kikubwa sana katika soka, nimefurahi sana kushinda tuzo hizi na itabaki kuwa historia kwangu”
Washindi wa miaka ya Nyuma
1973–74     Norman Hunter     Leeds United        
1974–75     Colin Todd     Derby County        
1975–76     Pat Jennings     Tottenham Hotspur
1976–77     Andy Gray     Aston Villa
1977–78     Peter Shilton     Nottingham Forest        
1978–79     Liam Brady     Arsenal
1979–80     Liverpool     FWA
1980–81     John Wark     Ipswich Town        
1981–82     Kevin Keegan     Southampton        
1982–83     Kenny Dalglish     Liverpool
1983–84     Ian Rush     Liverpool    
1984–85     Peter Reid     Everton        
1985–86     Gary Lineker     Everton    
1986–87     Clive Allen     Tottenham Hotspur
1987–88     John Barnes     Liverpool    
1988–89     Mark Hughes     Manchester United        
1989–90     David Platt     Aston Villa        
1990–91     Mark Hughes     Manchester United        
1991–92     Gary Pallister     Manchester United        
1992–93     Paul McGrath     Aston Villa        
1993–94     Eric Cantona     Manchester United        
1994–95     Alan Shearer     Blackburn Rovers        
1995–96     Les Ferdinand     Newcastle United        
1996–97     Alan Shearer     Newcastle United        
1997–98     Dennis Bergkamp Arsenal    
1998–99     David Ginola     Tottenham Hotspur    
1999–2000     Roy Keane     Manchester United    
2000–01     Teddy Sheringham     Manchester United    
2001–02     Ruud van Nistelrooy     Manchester United    
2002–03     Thierry Henry     Arsenal    
2003–04     Thierry Henry     Arsenal
2004–05     John Terry     Chelsea        
2005–06     Steven Gerrard     Liverpool        
2006–07     Cristiano Ronaldo     Manchester United
2007–08     Cristiano Ronaldo     Manchester United
2008–09     Ryan Giggs     Manchester United
2009–10     Wayne Rooney     Manchester United    
2010–11     Gareth Bale     Tottenham Hotspur        
2011–12     Robin van Persie     Arsenal
2012–13     Gareth Bale     Tottenham Hotspur
Key man: Bale's 18 league goals have bee vital for Spurs, especially against United, Arsenal and West HamBao la 18 la Bale msimu huu wa ligi, licha ya kufunga mabao pia amekuwa nguzo ya Spurs hasa katika michezo dhidi ya United, Arsenal na West Ham (Hapo juu ni mchezo na Arsenal) 
Key man: Bale's 18 league goals have bee vital for Spurs, especially against United, Arsenal and West Ham
Key man: Bale's 18 league goals have bee vital for Spurs, especially against United, Arsenal and West Ham

No comments:

Post a Comment