Meneja Uendeshaji wa Kiwanda hicho Peter Simon akiwa pamoja na Mzee JaphetKubebeka afisa mauzo mkoa wa Mara wakati tukijitambulisha kwa meneja huyo.
Kiwanda Kimefanya uwekezaji mkubwa sana lakini pia kimetoa ajira kwa watanzania kwa asilimia zaidi ya 90 huku wageni wakichukua asilimi chache sana na hii ni kutokana na wamiliki kuwaamini Watanzania kuwa wanaweza.
Mbali na hivyo kiwanda kinaingiza pato kubwa sana serikali kuanzia ulipaji wa Maji,Umeme na kodi kwa ujumla huku wafanyakazi zaidi ya 1000 wote wakiwa wamekatiwa NSSF,PPF na mifuko mingine.
Afisa Uzalishaji wa kiwanda hicho Piganio Mwita akifafanua jambo kwa waandishi wa Habari
Ufafanuzi wa mambo ukiendelea
Maswali kama kawa
Hii ni sukari nyeupe inayotumika katika kiwanda hicho ambapo inatolewa Misri
Chupa kizioshwa kwa umakini mkubwa
Ufafanuzi wa Jambo kutoka kwa mzee Japhet
Hapo tunaonyeshwa uchafu unaokuwa kwenye chupa
Rahaaaaaaa sana ukijua jinsi zinavyozalishwa
hii ni sehemu ya Maji Machafu kiukweli kiwanda hiki kinahitaj sifa kwa kuweza kuhifadhi maji haya na kuyazalisha tena katika matumizi mengine
Ujumbe huu ni muhimu sana
Watanzania wanaombwa kuwa wastaarabu wakati wanapomaliza kunywa soda wasiweke kitu chcochote ndani ya chupa
No comments:
Post a Comment