Rais
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete,
akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka kwa maafisa wakuu
waandamizi wa Jeshi la Polisi juzi jioni katika ukumbi wa Pius Msekwa
Bungeni, mjini Dodoma. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Rais
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IJP Saidi Mwema alipokua
anawasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma alipokwenda kufungua
mkutano mkuu wa mwaka wa Maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi
juzi jioni.Kauli mbiu ni “Tujenge Uwezo wa Jamii na Polisi Kukabiliana
na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila Shuruti”. Picha Na Hassan
Mndeme-Jeshi la Polisi.
Rais
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete,
akiagana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IJP Saidi Mwema juzi katika
viwanja vya Bunge mjini Dodoma baada ya kufanya ufunguzi wa mkutano mkuu
wa mwaka wa maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi. Picha Na
Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Rais
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na viongozi waandamizi wa Jeshi la Polisi alipokua
anawasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma alipokwenda kufungua
mkutano mkuu wa mwaka wa Maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi
juzi jioni. Kauli mbiu ni ”Tujenge Uwezo wa Jamii na Polisi Kukabiliana
na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila Shuruti”. Picha Na Hassan
Mndeme-Jeshi la Polisi
Rais
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IJP Saidi Mwema alipokua
anawasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma alipokwenda kufungua
mkutano mkuu wa mwaka wa Maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi
juzi jioni.Kauli mbiu ni “Tujenge Uwezo wa Jamii na Polisi Kukabiliana
na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila Shuruti”. Kushoto ni Waziri
wa Mambo ya Ndani Mhe, Dk. Emmanuel Nchimbi. Picha Na Hassan
Mndeme-Jeshi la Polisi.
Rais
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete
akiingia katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa juzi jioni mjini Dodoma
alipokwenda kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa Maafisa wakuu waandamizi
wa Jeshi la Polisi. Kauli mbiu ni “Tujenge Uwezo wa Jamii na
Polisi Kukabiliana na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila
Shuruti” Nyuma yake ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IJP Saidi Mwema.
Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
No comments:
Post a Comment