Thursday, February 21, 2013

GARI LA NEW CENTRAL LINE LAPATA AJALI MBELE YA DARAJA LA MKPA LIKIELEKEA MTWARA






Ilikuwa  ni kazi ngumu lakini tunamshukuru Mungu tulitoka salama,Baada ya tail mbili kupasuka ggari ilikosa mwelekeo lakini dreva aliweza kupambana vilivyo na hatimaye gari ikasimama ila du tunamshukuru Mungu

No comments:

Post a Comment