Habari Waungwana
Natumaini u na afya njema
hasa katika kusherekea Miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar,Pamoja na hivyo
bado tuna jukumu kubwa katika kuikomboa Jamii yetu ambayo ipo katika
Mazingira Magumu hasa katika upatikanaji wa habari lakini pia kutoibua
Changamoto zilizopo katika Jamii huska.
Kwa
kutambua umuhimu wa Jamii yetu, JAMII INFORMATION NETWORK (JIN) ni
Asasi ambayo imeamua kusogelea Jamii katika kuibua Changamoto
mbalimbali na Kuipasha Jamii hska habari. Tunapenda kuitumia blog hii
kuitangaza Blog ya Asasi ya Jamii Information Network ambayo itakuwa
ikielezea mambo mbalimbali yanayofanywa na Asasi hiyo
Tembelea blog hii kila Mara www.jamiiinformation.blogspot.com
No comments:
Post a Comment