Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
wakipita kwa ukakamavu mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein kutoa heshima kwake na Viongozi wa Juu wa
Kiserikali waliohudhuria Maadhimisho ya siku ya mapinduzi Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,
Dkt. Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride wakati wa Sherehe za Mapinduzi,
zilizofanyika leo kwenye Uwanja wa Amani jini Zanzibar
zilizofanyika leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete,alipowasili katika Uwanja wa Amaan katika Kilele cha Sherehe za Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zilizofanyika leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar DK.Amani Abeid Karume,alipowasili katika Uwanja wa Amaan katika Kilele cha Sherehe za Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zilizofanyika leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt.
Salmin Amour, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar leo
kwa ajili ya kuhudhuria katka sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa kwanza wa Rais wa
Zanzibar, Maalim Seif
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar, Ameir Pandu Kificho, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Amani
Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kuhudhuria katka sherehe za Mapinduzi ya
Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu,
Edward Lowassa, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Amani Mjini
Zanzibar leo kwa ajili ya kuhudhuria katka sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar.
Msanii Halikuniki akiongoza Kikundi cha wasanii
cha Cha Beni Maarufu(Mbwakachoka) kikipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(hayupo
pichani) katika sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,zilizofanyika
leo katika Uwanja wa Amaan Studium jini
Zanzibar
Wafanyakazi
wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar wakipita mbele ya mgeni rasmi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed
Shein,(hayupo pichani) katika sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar,zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar.
Kikundi cha wasanii cha Mbwakachoka kikipita
mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi DK.Ali
Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini
Zanzibar.
Baadhi ya wananchi wakipita kwa Maandamano mbele
ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi DK.Ali
Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini
Zanzibar.
No comments:
Post a Comment