Thursday, December 6, 2012

MSTAHIKI MEYA WA MANSPAA YA MUSOMA ALEX KISURURA AONGOZA MAELFU KATIKA KUUGA MWILI WA MWANAHARAKATI WA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU PAMOJA NA HAKI ZA WANAWAKE NA WATOTO EUSTUCE NYARUGENDA NYUMBANI KWAKE LEO MCHANA


MWILI WA MAREHEMU NYARUGENDA UKIINGIZWA NYUMBANI KWAKE MAENEO YA KIGERA BONDENI  

MMOJA WA STAFF WA SHIRIKA LA ABC FOUNDATION MR KURWA AKIZUNGUMZA NAMNA WALIVYOFANYA KAZI NA NYARUGENDA

BAADHI YA WAOMBOLEZAJI WAKIWA MSIBANI


MWILI WA NYARUGENDA UMEHIFADHIWA HUMU

UKIFUNULIWA KWA AJILI YA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO

KAPUMZIKE KWA AMANI KOMLEDI NYARUGENDA


STAFF WA ABC FOUNDATION MARIA ALIPOSHINDWA KUJIZUI

MRATIBU WA SHIRIKA LA MARA DEVELOPMENT FORUM ALIKUWA NI MMOJA WA WAOMBOLEZAJI

MSTAHIKI MEYA KISURURA AKITOA HESHIMA ZAKE ZA MWISHO

MJANE WA MAREHEMU PAMOJA NA WATOTO WAKE WAWILI

NENO LA MUNGU PIA LILIHUBIRIWA MAHALA HAPA

SAFARI YA KUELEKEA KARAGWE MKOANI KAGERA KWA AJILI YA MAZISHI

KAPUMZIKE KWA AMANI MWANAHARAKATI KOMLEDI EUSTUCE NYARUGENDA NENDA KAPUMZIKE KWA AMANI TUTAZIDI KUENDELEZA HARAKATI ULIZOKUWA UKIZIFANYA

No comments:

Post a Comment