Wednesday, November 21, 2012

MSAADA WAHITAJIKA MDAU
-Anaitwa Anastazia Dulianus miaka 18,ni mwenyeji wa Wilaya ya Serengenti mkoani Mara,amefika jana Hospital ya Mkoa lakini mpaka sasa hajapata huduma yoyote .

Mzazi wake anatafuta fedha za kwenda kupima nyama ya Mguu KCMC Moshi,anahitaji msaada wa kifedha atakayeguswa na hali hii afike wodi namba 4 hospital ya Mkoa wa Mara

                   Au tuwasiliane kwa namba 0756  035 825 au weka katika akaunti 022201093996 NBC

No comments:

Post a Comment