Wazee wa Chama cha Mapinduzi kutoka kata ya Bweri wakiingia uwanja wa Mukendo hapo jana
Msafara wa Mjumbe wa Nec Taifa Ndugu Vedastus Mathayo ukiingia uwanjani
Ndugu Mathayo akiwa na walinzi wake wakati akiingia uwanjani
Kutoka kushoto ni Ndg Mathayo,Ndg Musoma utalii na mkuu wa Wilaya ya Musoma Ndg Jackson Msome
Meza kuu
Ndg Mathayo akiwa jukwaani akiwahutumia wananchi waliokuwepo hapo jana
No comments:
Post a Comment