Anaitwa Bi Pendo Malima (31) mkazi wa Buhare Musoma mkoani Mara
Waandishi wa habari wakifanya mahojiano na Bi Pendo hospital ya Mkoa wa Mara
Beldina Nyakeke mwandishi wa gazeti la Citizen (Mara) akifanya Mahojiano na Bi Pendo
Paschal Michael wa Zanzibar Leo akifanya Mahojiano na Bi Pendo leo
Shomary Binda mwandishi wa gazeti la Mtanzania akichukua maelezo ya Bi Pendo
-Mme wake anaitwa Ndege Aloyce ni Mvuvi
-Sababu ya kupigwa ni Simu
-Ana umri wa miaka 31
-Kipigo kwake ni kawaida kwa mwezi anapata dozi yaani mara tatu
-Anawatoto 3
-Amesema akipona harudi kwa mmewe
-Hali yek bado maana akiongea kichwa kinatingishika kama Bondia Mohammed Ally
No comments:
Post a Comment