Sunday, November 4, 2012

HALI YA UWANJA WA KUMBUKUMBU YA KARUME MJINI MUSOMA NI TETE,WADAU VP?

      Hizo picha mbili za juu ni eneo la VIP katika uwanja wa kumbukumbu Mjini Musoma ambapo kiukweli hali c nzuri kama kutakuwa na mechi uwanjani hapo na watu watakao kuwa katika eneo hilo bila shaka itabidi wakubadi matokeo kwa kunyeshewa na Mvua hiyo.Nadhani ni muda muafaka wadau kulitazama suala hili
Mzee Rajabu na huyu ndiye Meneja wa uwanja huo ambao upo chini ya Chama cha Mapinduzi CCM

No comments:

Post a Comment