Sunday, November 4, 2012

KATIKA KUJIANDA NA MTANGANE NA TIMU YA WAKUSANYA MAPATO TRA,LEO JUMAPILI MAZOEZI YAMEENDELEA KATIKA UWANJA WA KUMBUKUMBU YA KARUME MJINI MUSOMA

                                         Majadiliano muhimu kabala ya kuanza mazoezi
     Mmoja wa Mackocha mkoani Mara wanaotumia muda wao kukuza vipaji,Mwl Matitu
                                           Jamaa wakijadili juu ya mechi hiyoooooooooo
                                                  Mchezaji wa timu ya wanahabari Mara,Mwl Luhende
                     Mchezaji tegemeo wa TRA  Mara akijiuliza kama ataweza mziki wa wanahabari
 Kijana huyu anafuata nyayo za baba yake aliyewahi kuwa Golikipa enzi hizo Mkoani Mara
                 Du Mpira c Maneno bali ni vitendooooooooooooo

                       Mbavu nazo ni muhimu kunyoooka ba ndugu
                                      Mazoezi ya Viungo Muhimu katika kuweka Mwili sawa
                                     kocha mchezaji wa TRA MARA

                       Ni muda mrefu sana tangu nimeachana na mpira kwasasa du uzito wa kutoshaaaaaaaa
Amani Richard pamoja na Martini Mumbala wakijiandaa kufanya Mazozi asubuhi ya leo ikiwa ni Maandalizi ya Mchezo kati ya Timu ya waandishi wa habari Mkoani Mara na Wakusanya Mapato TRA na hawa ni miongoni mwa wachezaji wa TRA walionunuliwa kwa ajili ya mchezo huo

No comments:

Post a Comment