Monday, November 5, 2012

BAADA YA SARE YA 1-1 NA TIMU YA POLISI KUTOKA TABORA ,WADAU WA SOKA MKOANI MARA WAPOTEZA MATUMAINI YA KUONA LIGI KUU MSIMU UJAO

Timu ya Polisi Mara iliyoshindwa kuutumia vyema uwanja wa nyumbani leo baada ya kutoka sare ya 1-1 na Timu ya Polisi Tabora
                       Kaseja wa Polisi Mara akifanya Mazoezi
                              Waamuzi wa mchezo huo leo
          Wachezaji wa kikosi cha Polisi Tabora
                Fanibulaaaaaaaaaaaaaa
                  Mashabiki wakifuatilia mtanange huo
 Mvua ilianza wadau waliokuwa jukwaa kubwa ikabidi watafute uswa jukwaa la VIP

   Baada ya mchezo huo kumalizika kwa sare ya 1-1 wadau wakaanza kuulizana
 Wachezaji hawakuwa na Amani tena
Wadau wa Soka mkoani Mara leo wameendelea kupoteza matumaini baada ya timu ya soka ya Polisi Mara kushindwa kuutumia vyema uwanje wake wa Nyumbani kwa kutoka sare ya bao 1-1 na kikosi cha timu ya Polisi Tabora.Mpaka sasa kikosi cha Polisi Mara kina point 2 katika michezo minne

No comments:

Post a Comment