Wednesday, November 14, 2012

CANDY AACHIA VIDEO NYINGINE MPYA...!!!!


candy ...anasema..!

Tanzania kuna wasanii wachache wa kike tofuti na nchi  za jirani, sio kwamba vipaji hamna nikiwa kama msichana nahitaji sana sapoti yako ili kunikomboa na kuwakomboa wasichana wenzangu ambao wanavipaji ila bado hawajaona mwanga wao.
 
Naombeni mnipokee kama mdogo wenu kwenye gemu kwani nahitaji kujifunza kupitia kwenu ili ndoto zangu zitimie  naomba pia wadau wa muziki mtizame kipaji changu na kunisaidia ili nifike mbali na niitangaze nchi yangu kimataifa .
Mbali na kuimba naweza kudance/ kucheza vizuri sana ndio nilichojivunia  na ninamshukuru mungu kwa kunipa uwezo  wa kutawala jukwaa bila aibu. 
 
 Tembelea link hii hapa kwa kuangalia video http://www.youtube/owen livigha  
 
SONG    :   MUZIKI MTAMU
ARTIS   :   CANDY
STUDIO :   NK PRODUCTION
VIDEO   :    FARASI   ENT.
DIR        :    BY PETER.

cell         ;     0656 132373

No comments:

Post a Comment