Tuesday, September 18, 2012

MPWA WA GEORGE MARATO AKITIMIZA MOJA YA MILA ZA KIKURYA,PICHA 25 ZA TOHARA KATIKA KIJIJI CHA RYAMISANGA, PART 3


      *Picha  25 za sherehe ya Mpwa wake na  Mwandishi wa habari wa ITV & Redio one mkoani Mara George Marato,Mkazi wa kijiji cha Ryamisanga wilaya ya Butiama Mkoani Mara.Taarifa zinasema kuwa kwa mila ya Kabila ya Kikurya unapokaribia kutimiza Umri wa utu uzima lazima utairiwe na hivyo kuruhusiwa kuingia katika Mapenzi na kushiriki katika Tambiko zote za Kimila.

      *Lakini pamoja na kutimiza moja ya mila katika kabila hilo lakini pia wataalamu wa Afya wanasema kuwa mtu anapotairiwa ana zaidi ya asilimia 60 kujikinga na magonjwa Mbalimbali ukiwemo Ugonjwa wa Ukimwi,kufuatia hatua hiyo Serikali ya Tanzania iliamua kufanya zoezi hilo la kutairi baadhi ya Mikoa hapa Tanzania ukiwemo mkoa wa Mara katika wilya ya Rorya

   *   Matukio yote utayapata kupitia blog hii ya www.mwanawaafrika.blogspot.com na
www.georgemarato.blogspot.com na  hapa ni Part 3


                               Marato akiwa pamoja na dada yake

                      Haya bana jamaa naona Moli umepanda
                      Hii stahili kali Marato
                            oooohhhh  Panga na jichoooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
                          Haya bana jamaa anazidi kudumisha Mila
                                        kama kawaida ngoma ya LITUNGU
    Furaha + Kinywaji mambo mwaaaaaaaaaaakeeeeeeeeeeee
                                  Eti jamaa naye akaingia kati kucheza LITUNGU aaaaaaaaaaaaaaah
          Shommy B akiwa pamoja na wadau katika kijiji cha Ryamisanga
   George Marato na Mwane Maria Marato wakikata Maakuliiiiiiiiiiiiiiiiiii
                     Kama kawaida hakunaga kulembaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
          Shommy B anakamilisha mtiririko mzima wa wamtukio kutoka kijiji cha Ryamisanga wilaya ya Butiama mkoani Mara

No comments:

Post a Comment