Karibu Musoma Information Center kwa huduma zifuatazo:- 1) Kwa kutengenezewa design mbalimbali kama za Business card, Vipeperushi, mabango mbalimbali, kadi za Harusi za kisasa zaidi, kadi za mialiko mbalimbali, Vitambulisho vya wanafunzi wa sekondari na katika kampuni mbalimbali ( ID cards) na kadi nyinginezo zenye design ya kuvutia. 2) Kutengenezewa mabango ( Posters) mbalimbali zinazohusu biashara ya mhusika au bidhaa mbalimbali. 3) Kutengenezewa nembo ( LOGO) za kuhusiana kampuni au biashara yako. 4) Tunatengeneza tovuti ( Websites ) zenye kiwango ambacho huwezi amini kama zinatengenezwa musoma, kwa bei nafuu ambayo huwezi ipata kwingine isipo kuwa kwetu. 5) Mwisho tunatoa ushauri na elimu kuhusiana na maswala ya computer.5) Sisi ni watengenezaji wa blog zinazokaa mfumo wa website. kama hii unayoiona.
Tutembelee katika kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere yaliyopo Mwitongo katika kijiji cha Butiama mkoani Mara ,Makumbusho haya naweza kuwa kivutio kikubwa kwa Watalii katika kuliingizia Pato Taifa na kufungua ajira kwa Watanzania. Makumbusho hayo yapo kilomita 40 kutoka Musoma mjini na yalianzishwa kwa lengo la kuhifadhi Historia ya Maisha ya Baba wa Taifa katika kazi alizozifanya ndani ya nchi na nje ya nchi.
0 comments:
Post a Comment