Monday, February 6, 2012

KAMA KAWA CHAMA LINAKUA

Mdau wa Blog ya mwana wa Afrika habari,pole na majukumu ya kutafuta maisha wakati unapumzika kujua nini kimetokea na kimeandikwa katika blog hii waweza pia kutembelea blog ya redio Victoria fm yaani www.victoriafm.blogspot.com

2 comments:

  1. Mr. Mgendi
    Habari za hapo Musoma.
    Kwanza hongera kwa kazi njema ya kuwataarifu watanzania mambo yanavyoendelea katika maeneo yao na kwingineko.

    Mimi ni Mwl. & Pastor Obura Abel, kwa sasa niko chuo kikuu cha Yohana Mtakatifu nikifanya kozi ya Theologia na Ualimu (BATh-Education.

    Napenda kufanyakazi na makundi ya vijana katika kada mbalimbali. Naomba kujua kama redio yako inaweza kunipa kipindi kwa ajili ya kuwafundisha vijana namna ya kuishi katika ulimwengu wa mabadiliko. Hususani katika masaa ya kipindi cha dini siku ya jumapili. Please let me know.

    Rev. Abel Obura (ACT-Diocese of Mara)

    ReplyDelete
  2. Asante sana ndugu yangu Mwl Pastor Obura,nimechelewa sana kukujibu lakini naomba uniwie radhi,ya redio yetu inaweza kukupa nafasi hiyo kaka ingawa kwa gharama ndogo kulingana na hali ya uendeshaji.kaka kwa mawasiliano zaidi nipigie kupitia simu yangu ya mkononi

    ReplyDelete