Thursday, December 29, 2011

HAYA KWASASA NDIYO MAJEMBE YA VICTORIA FM YA MJINI MUSOMA

 Kutoka kushoto anaitwa Hadja Hassa huku kulia akiwa na mjukuu wa bibi K William Bundala
                                        Happy Mohamed
                       Augustine Mgendi a.k.a    Mwana wa Afrika
                                     William Bundala a.k.a mjukuu wa bibi K
                                              Sophia James
 Wakati mwingine suala la viatu ofisi linakuwa tabu pale ambapo kazi inakuwa haijakamilika


Kijana huyu anaitwa Maulid Kambaya au Mau K ni mtangazaji katika kituo cha Redio one jijini Dar es Salaam,nimesoma nae katika chuo cha habari Royal nackia raha sana vijana wanapopambana na maisha

No comments:

Post a Comment