Mgeni rasmi katika semina hiyo Katibu tawala mkoani Mara Bw. Clement Lujaji akifungua semina hiyo ya siku moja katika ukumbi wa Aflux mjini Musoma
Kumekuwepo na tatizo kubwa la bidhaa bandia kuingia hapa nchini huku baadhi ya watu wakigeuza nchi hii kuwa dampo la vifaa ambavyo havifai kwa kuliona hilo tume ya ushindani iliamua kufanya semina mkoani Mara lengo likiwa ni kupambana na bidhaa feki zinazoingia hapa nchini
Baadhi ya bidhaa feki ambazo ukizitazama inakuwa tabu kuzitofautisha mpaka upate elimu ya kutosha
No comments:
Post a Comment